Monday, February 28, 2011

Elvis Ondieki, all the way from Moi University



This is how Moi University knows Elvis Ondieki

Ukiona ‘…’, ujaze na ‘-vo’

Kabla tuende mbali, jina langu ni El…
Ninasoma Skul of Artz, Literature nd’o changu kiti…
Tunachambuaga ma play, ma poem pamoja na ma no…
Lecturers wangu ni ka Mbova, Amuva, Mugarivi na Buso…
Stylistic devices zetu ni ka repetivo, alliteravo, tongue-twivo na ma pro…
Tunasoma Chinua Achevo, Francis Imbuvo na hata Ngugi wa Thio…
Themes tunaangalia ni ka opprevo, corrapvo, familivo na immora…
First Class nayo sitapata, juu niko na ma C zaidi ya ngo…
Aki lit kazi mingi, inabidi uvute sigavo ama utumie ve…

By the way, ikifika Vision 2030 nitakuwa naendesha vol…
Wengine by then mtakuwa mmekutwa vitu na mzee ki…
Yaani, mtakuwa mmededi ka yule first martyr, ambaye alikuwa Sti…
Hiyo time nitakuwa bizze, matanga yenu msingoje my arrai..
Nitakuwa waks niki operatia Nairobi na Antananari…
Pole, hope tutaonana Mbinguvo; tukibonga na Yevo Krisvo tukikula matu…
Fesbuvo dot kom itakuwa huko Mbinguvo, na ma modem kiba…
Tutakuwa tunafesbuku bila kuzi crack kwa netwak Yuvo, Zainvo, Orenvo au Safan…
Tutapewa laptovo za sare na stima amba…
Coil na stand za sare tutapewa za kuchemsha matu…
@ Kevo, Mbinguvo hakuna kuwatch ngwaty ama zile zako mauji…
Tutaangalia kina Shusho na Bahati Bukuvo  na Emmy Kosgevo na Emachi…






No comments:

Post a Comment